kwaMafunzo

Submitted by admin on Fri, 02/13/2015 - 00:00
Display title
kwaMafunzo

Karibu kwaMafunzo - jukwaa la kimataifa la mafunzo. Wanawake wajasiriamali wanashiriki nawe uamuzi wao uliowaletea mafanikio. Jifunze kuhusu motisha yao thabiti, msukumo wa kibinafsi, maarifaa na ujuzi wao. Jiunge na wanawake hawa katika njia yao ya mafunzo na uifanye yako pia!